← Nyuma
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
IlipochapishwaJun 11, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram β†’
β–ΈMaelezo ya awali
πŸ” NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA KUWEKEZA KIWANDA

Natafuta eneo la kukodisha kwa makubaliano ya muda mrefu kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda.

βœ”οΈ Ukubwa unaohitajika: kuanzia SQM 7,000 hadi SQM 12,000.

Ikiwa unalo eneo linalokidhi vigezo hivi au una taarifa zinazoweza kusaidia, tafadhali wasiliana nasi.

πŸ“ž Simu: 0714 557 558

WAGS Investments Real Estate
β€œHatuzui mali tu, tunajenga urithi.”

Nyumba zinazofanana