Mwenye nyumba, ishi kisasa. Kalamu na karatasi zimepitwa na wakati. Kufuatilia malimbikizo mlango kwa mlango ni pasua kichwa. Pangisha inakupa udhibiti kamili wa biashara yako ya nyumba za kupanga, ofisi na fremu za biashara. — Jua nani kalipa, nani hajalipa, kwa kila mpangaji, — Bili za kodi kiotomatiki kwa kila kipindi — SMS na vikumbusho vya kodi, risiti na mikataba, — Jua mkataba unaisha lini na nyumba zilizo wazi, — Portal ya mpangaji anaona madeni yake, — Ripoti kwa namba — iwe una nyumba 5 au 500, Usiendeshe biashara ya mamilioni kwa daftari. Endesha biashara kisasa. Jisajili leo: pangisha.com na pia wasiliana nasi kwa 0657 999 441 · 0651 6755 10 | 11 | 22 | 24 | 33
Jun 28, 2026Dalali Mkombozi
Dalali
MR SPOTTER REAL ESTATE
Dalali
Jun 28, 2026DALALIMZUNGU_TZ 0761920143.🇹🇿
Dalali
Nikuze Real Estate Agency
Dalali
Jun 28, 2026ABDULKARIM AUDAX | REAL ESTATE
Dalali
Jun 28, 2026Dalali Mkombozi
Dalali